HATIMA YAKO
TUMIA LEO YAKO ILI UTENGENEZE KESHO YAKO NZURI AU HATIMA YAKO ✍Mwalimu na mwandishi ππππ Fredrick kapaya Mhubiri 7:8 "Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake, Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi" Ecclesiastes 7:8 "The end of anything is better than its beginning.... " Maana ya neno Hatima ni sawa na kusema mwisho πElewa kuwa kila jambo huwa lina mwanzo wake na mwisho wake. πMwanzo wa jambo unaweza ukawa mzuri au mbaya na mwisho wa jambo unaweza ukawa mzuri au mbaya. πMwisho mbaya au mzuri unaweza ukachangiwa sana na mwanzo wa hilo jambo (ulianzaje?) πMtu anaweza kuokoka na kuishi maisha ya wokovu ila akafa katika dhambi, hiyo hatima mbaya. Isaya 46:10 "Nitangazaye mwisho tangu mwanzo, na tangu zamani za kale mambo yasiyotendeka bado, nikisema shauri langu litasimama, nami nitatenda mpenzi yangu yote" Isaiah 46:10 "From the beginning i predicted the outcome,.... " ➡Mungu alipotuumba tayari am...
Comments
Post a Comment